Ccm

18 Jul 19
Longfellow Community Council

Check out this week’s upcoming events in Greater Longfellow and enjoy nature! Upcoming & Ongoing Events Share the River Gorge • Thursday, July 25 • 6-8pm • 35th & River Parkway Share the River Gorge promises family fun & free ice cream! A community event with free ice cream, free canoe rides, free rowing, live […]

18 Jul 19
hirudov

Volkswagen Golf Mk4 Anniversary Package (2000) Exterior and Interior 2000 Volkswagen Golf Mk4 Anniversary Package car seen from outside and inside. The vehicle has 1,800 ccm engine, 450 hp. Color is Black Metallic. Modifications: Anniversary package, replaced engine, Barracuda alloy wheels. Driven in Bulgaria. The car was shown at Volkswagen Club Fest Sofia, Bulgaria 2019. […]

18 Jul 19
Dar24

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua rasmi zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuwahimiza vijana waliotimiza miaka 18 wajitokeze kwa wingi kujiandikisha. Ametoa rai hiyo wakati akizindua zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura lililofanyika kwenye uwanja wa Mandela, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Waziri Mkuu ambaye amewasili […]

18 Jul 19
www.classics.com

Mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe amesema kitendo cha makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana kumuandikia barua katibu wa baraza la ushauri la viongozi wakuu wastaafu wa chama hicho wakilalamika kudhalilishwa, ni mkakati unaolenga kumkosesha uhalali Rais John Magufuli kuwania urais 2020. Bashe ametoa kauli hapo jana katika mkutano […]

18 Jul 19
www.classics.com

 BARUA YA MAJIBU YA AWALI.Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; DAR ES SALAAM. Tarehe15 Julai, 2019.Nakiri kupokea barua yenu ya tarehe 15 07/ 2019 ambayo mliisaini wote wawili, na ikawasilishwa kwangu kwa mkono na Mhe. Nape Nnauye (Mb), jana tarehe 14/07/ 2019. Baada ya kuisoma […]

18 Jul 19
MTEZA MEDIA

WANANCHI wa Kata ya Muhintiri iliyopo katika Jimbo la Uchaguzi la Singida Magharibi wamesema hawamtaki Mbunge mwingine katika jimbo hilo zaidi ya Elibariki Kingu. Hatua hiyo imefikiwa na wananchi hao kufuatia maendeleo makubwa aliyoyafanya mbunge huyo kuanzia ujenzi wa shule, miradi ya maji, madaraja, Zahanati, miundombinu ya barabara, uimalishaji wa michezo pamoja na kujitoa kwake […]

18 Jul 19
Dar24

Mbunge wa Nzega Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe amesema kuwa kitendo cha makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana kumuandikia barua katibu wa baraza la ushauri la viongozi wakuu wastaafu wa chama hicho wakilalamika kudhalilishwa, ni mkakati unaolenga kumkosesha uhalali Rais John Magufuli kuwania urais 2020. Ameyasema hayo […]

18 Jul 19
dsekroadisjue

Download the latest version of Skype free in English on CCM ※ Download: Download skype atualizado 2017 How to skype to a previous version Waiting for fixes that work. It gave me features I do not need and took away features I do need. No other version of Lync or Skype for Business is available […]

18 Jul 19
MBUKUZI

BARUA YA MAJIBU YA AWALI. Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; DAR ES SALAAM. Tarehe15 Julai, 2019. Nakiri kupokea barua yenu ya tarehe 15 07/ 2019 ambayo mliisaini wote wawili, na ikawasilishwa kwangu kwa mkono na Mhe. Nape Nnauye (Mb), jana tarehe 14/07/ 2019. Baada […]

18 Jul 19
MBUKUZI

Mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe amesema kitendo cha makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana kumuandikia barua katibu wa baraza la ushauri la viongozi wakuu wastaafu wa chama hicho wakilalamika kudhalilishwa, ni mkakati unaolenga kumkosesha uhalali Rais John Magufuli kuwania urais 2020. Bashe ametoa kauli hapo jana katika mkutano […]

18 Jul 19
www.classics.com

Sauti ya inayodhaniwa kuwa ni ya Mbunge wa Mtama CCM Nape Nauye na Katibu mkuu Mstaafu waCCM Abdulrahman Omari Kinana Iliyovuja inasambaa kwa kasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii, SIKILIZA HAPA:

18 Jul 19
Summer Research Takes Flight!

Hello all! Thanks for reading and following along on this journey. Just thought, I’d give you a thanks. 😉 Today was Miguel’s (Delaware dude) birthday so as soon as I grabbed my usual breakfast of watermelon, eggs, and hasbrowns, I shuffled over and yelled enough to embarrass him in the dining hall. It was definitely […]

18 Jul 19
www.classics.com

Suala ufanyaji wa mikutano ya kisiasa limeibua mjadala mpya kwa wananchi mbalimbali kufuatia baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano yoyote ya kisiasa bila zuio ilhali wengine wakikumbana na zuio kutoka Jeshi la Polisi. Hali hiyo imekuja baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally kuonekana akifanya mikutano ya ndani bila zuio lolote wakati huo huo […]

18 Jul 19
www.classics.com

Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini (ccm), Hussein Bashe amesema walichokifanya makatibu wastafu wa CCM, Yusuph Makamba na Abdulrahman Kinana ni hatua za kutaka kumkosesha Rais John Magufuli asigombee urais mwaka 2020. Bashe aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari alieleza kuwa malalamiko yao waliyoyawasilisha katika Baraza la Ushauri la […]

18 Jul 19
Fuerza Mexiquense

El Centro Cultural Mexiquense (CCM) ofrece para este próximo fin de semana una gran variedad de actividades de entretenimiento, algunas gratis y, otras, con costo simbólico. El complejo cultural proyectará el viernes 19 de julio, en la Cineteca Mexiquense, a las 11:00 horas, la película ganadora del Globo de Oro “La buena esposa”, dentro del […]