Hatari

17 Jun 19
ESCXTRA.com

Eurovision 2019, like any other year, featured a mix of songs of different languages, tempos and genres. Within the contest, however, some songs pushed more boundaries than others. While we always have our standard EDM bangers and power ballads, the contest also featured songs that had less of a mass appeal. In this edition of […]

17 Jun 19
Maisha Daily

UTANGULIZI Matatizo ya ngozi hutofautiana sana katika dalili na ukali. Inaweza kuwa ya muda au ya kudumu, na inaweza kuwa haipatikani au chungu. Baadhi wana sababu za hali, wakati wengine wanaweza kuwa na maumbile. Masharti fulani ya ngozi ni madogo, na wengine wanaweza kuwa vitishio cha maisha. Wakati shida nyingi za ngozi ni ndogo, wengine […]

17 Jun 19
Maisha Daily

UTANGULIZI Kwa hiyo, sio kuchelewa sana kuanza kuanza kutunza afya ya jicho lako vizuri, kama maono yako yanakabiliwa kwa kasi au unakabiliwa na shida za jicho kwa ghafla. Ikiwa yoyote ya ishara na dalili zilizoorodheshwa katika ’19 Matatizo Ya Jicho Yengi ya Jumuiya – Ishara, Dalili na Chaguzi za Matibabu ‘inaonekana kuwa mbaya au kuendelea […]

17 Jun 19
Mpogoro Mawe

Chagua mtu mwenye msimamoMuda aliotumia mpenzi wako kudumu katika uhusiano wake uliopita unaweza kukupa ishara ya nguvu ya mtu kudumu na wewe; Unaweza kutumia njia hii kama kipimo cha matarajio ya uhusiano wenu mpya. Ikiwa, kwa mfano, mwenza wako anayetarajiwa alikuwa na mahusiano kadhaa ambayo yalidumu kwa muda mrefu takribani yenye utulivu wa miaka miwili […]

17 Jun 19
www.classics.com

Mcheza kiini macho nchini India aliyejaribu kuiga muujiza maarufu kwa kuruka mtoni akiwa amefungwa mikono na miguu, na kutumbukizwa kichwa chini maguu juu, anahofiwa amefariki.nbChanchal Lahiri alijaribu kuiga kiini macho cha Harry Houdini – mcheza kiinimacho maarufu duniani – na alitarajiwa kujitatua na kutoroka, lakini hakuzuka kutoka kwenye mto huo uliopo katika jimbo la Bengal […]

17 Jun 19
Umeme wa Mashariki

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki,Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha ya kijijini ya umasikini na hali ya kuwa nyuma. …

17 Jun 19
www.classics.com

Mtu anayeshukiwa kuwa na Ebola amewekwa kizuini katika Hospitali ya Kericho, eneo la Bonde la Ufa kusini-magharibi mwa Kenya. Mgonjwa huyo, ambaye ni mwanamke anaripotiwa kuwa na dalili zinazowapata wagonjwa wa Ebola. Maafisa wa afya katika Kaunti ya Kericho wamesema kuwa alifanya safari kutoka Malaba eneo la mpaka kati ya Kenya na Uganda. Hakuna ripoti […]

17 Jun 19
www.classics.com

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa Wizara yake haijatangaza hali ya hatari juu ya ugonjwa wa Ebola bali wametoa tahadhari kwa Umma kuhusu tishio la ugonjwa huo. Waziri Ummy amesema kuwa wametoa tahadhari ili wananchi wachukue tahadhari na kujikinga na kuhakikisha ugonjwa huu hauingii nchini. “Ufafanuzi: Wizara […]

17 Jun 19
www.classics.com

Naombeni misaada yenu hapa kuna kesi ya kusolviwa haraka haraka, watu wapo juu ya mawe wanaliaaa NAZI MTARONI:Yani Money Penny hapa ninashida ya mileleKuna kibopa nilikutanaga nacho TRA hapo naenda kupeleka risiti za malipo ya kampuni nayofanya kaziKibopa sijui ndio ufisi akanitamani au akanipenda anajua mwenyewe. Kaniomba no yangu nikamkazia, akanifuatilia mpaka kanipata. Akanipandia hewani […]

17 Jun 19
MTEZA MEDIA

NA KAROLI VINSENT MSHAMBULIAJI hatari wa Mwadui FC,SaluM Ayee amezivuruga baadhi ya timu za Ligi kuu ikiwemo Yanga,Azam pamoja na Ndanda Fc baada ya  timu hizo kuhaha usiku na mchana kuinasa saini ya mchezaji huyo mwenye uchu wa Magori . Taarifa za kuaminika ambazo MtezaMedia.wouldpress imezipata zinasema uogozi wa Yanga ,Ndanda FC pamoja na Azam  […]

17 Jun 19
www.classics.com

NYOTA YAKO LEO JUMATATU 17/JUNE/ 2019: 🌟PUNDA- (March 20- April 20)Siku ya Leo Yale uliyokuwa unayataka au uliyoyadhamiria yatakuwa utakutana na marafiki wakweli na waaminifu watakaokuongoza katika njia nzuri za mafanikio ya kimaisha tegemea kupata habari nzuri. 🌟NG’OMBE- (Aprili 21- May 21Jumatatu hii kinyota ni mbaya kwako jambo lolote utakalofanya hata liwe zuri vp litakugeuka […]

17 Jun 19
The Hatari Papers

Comme si on n’avait pas encore assez de suites, de remakes et de resucées bloquant nos écrans, cette semaine, on nous/vous inflige un nouveau “Men in Black” (MIB INTERNATIONAL) et un reboot de l’increvable “Chucky” qui s’appelle désormais “Buddi”  (CHILD’S PLAY) que – après les désastres de “Aladdin”, “John Wick 3” et “X-Men – Dark […]

17 Jun 19
Howard Hawks Hollywood

Hatari is ranked number 13 on Golddberby’s list of Howard Hawks’ 20 Greatest Films. This is definitely one of Hawks’ most entertaining films and should rank in the top 10.  It was also a blockbuster hit.

17 Jun 19
myreference

UFAHAMU Ufahamu ni uwezo wa kuelewa jambo fulani na kuweza kulifafanua. AINA ZA UFAHAMU Ufahamu wa kusoma Ufahamu wa kusikiliza Ufahamu wa kutafakari UFAHAMU WA KUSIKILIZA – Ni kuzingatia yote yasemwayo na mtu mmoja, mwingine kusikiliza kunahitaji umakini na utulivu ili kuelewa. – Watu huweza kupata taarifa kutokana na kusikiliza jambo husika kwa umakini na […]

17 Jun 19
myreference

UANDISHI WA INSHA  TARATIBU ZA UANDISHI Alama na mpangilio wa maneno ni mojawapo ya vigezo vya kutambulisha mwandishi bora hodari kaziiwezekuwa nzuri inayoeleweka na wasomaji, mwandishi hana budi kutumia mfumo wa alama ili kumsaidia msomaji wapi pa kumpumzisha, kuuliza swali n.k baadhiya alama zifuatazo hutumika katika uandishi.  Mkato (,)  Alama hii hutumika  –  kuweka pumziko […]

16 Jun 19
Humanizing The Vacuum

I invite my UK readers to explain Jess Glynne’s formidable popularity in their homeland. A market exists, as it does in the States, for self-help bromides set to arena-ready beats. Nevertheless!