Kwa

20 Feb 19
SJ POST

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs alipokutana naye kwa   mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 20, 2019.  : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John […]

20 Feb 19
Julofutbol

Mchezaji wa Juventus Sami Khedira anatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja baada ya kupata matibabu ya moyo. Khedira, mwenye umri wa miaka 31, alifanyiwa uchunguzi zaidi baada ya kuachwa nje kwenye kikosi kitakacho cheza  mchezo wa Ligi ya Mabingwa Jumatano huko jijini Madrid kwa sababu ya ugonjwa wake huo. Hali hiyo husababisha kiwango cha moyo […]

20 Feb 19
Flash Fiction

A fabulous destination in Kwa Zulu Natal. Decor, ambience, service and food ate just out of this world. #holiday#meals#travel

20 Feb 19
the teller

A statement as a summary of life. The man Jacob after tricking his brother out of his birth right, runs away to his uncle Laban. Here he finds the woman of his dreams. Rachael. That must have been some dream, became, Jacob agrees to work seven years. Shepherding the flock, guarding and taking care of […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuunda Kamati Maalumu itakayochunguza tukio la kijana Musa Yahya ambaye anadai kupigwa na Polisi nakuingiziwa chupa sehemu za siri akiwa katika Kituo cha Polisi loliondo nakupelekea mguu wake kuoza akiwa kituoni. Tukio hilo la kijana huyo, Mussa Yahya ambaye alikuwa na wenzake […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limelaani nguvu kubwa inayotumiwa na Jeshi la Polisi mahakamani wakati wa usikilizwaji wa kesi za viongozi wa chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Patrick ole Sosopi amesema Desemba 12, mwaka jana baraza hilo lilituma barua kwa Jaji Mkuu, juu […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA 10 WA NCHINI ETHIOPIA KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI KINYUME CHA SHERIA. PIA KATIKA MISAKO MBALIMBALI, JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU KADHAA. KUPATIKANA NA MALI IDHANIWAYO KUWA YA WIZI. Mnamo tarehe 10/02/2019 majira ya saa 15:45 Alasiri huko maeneo ya Mapelele, Kata ya Nsalala, Tarafa […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

Mkurugenzi wa EFM na E-TV, Majizo ameunda kamati ambayo itaratibu namna ya kukusanya fedha za kusaidia mtibabu ya mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba ambaye yupo nchini Afrika Kusini kwa matibabu. Akihojiwa leo Jumatano Februari 20, 2019 katika kipindi cha 360 kinachorushwa na kituo cha Clouds TV, Majizo amesema tayari kamati ya […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

Chama Cha Wananchi (CUF) upande wa Mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba, umesema unatarajia kuitisha kikao cha kamati kuu ya chama hicho waweze kuitisha kikao cha Baraza Kuu ambacho kitateua wajumbe wapya wa bodi ya wadhamini. Kauli hiyo imetolewa siku moja baada ya Mahakama Kuu […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 20, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania […]

20 Feb 19
Tanzania Tech

Hayawi hayawi sasa yamekuwa… ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa dhati sasa imewadia, karibu kwenye Mubashara kabisa kwenye uzinduzi wa simu mpya za Samsung Galaxy S10 Galaxy S10 Plus pamoja na simu nyingine mpya ya Galaxy S10e na Galaxy Fold. Hapo chini utaweza kuangalia mubashara yote yatakayo jiri kwenye mkutano wa uzinduzi wa simu hizi ambao […]

20 Feb 19
Mbukuzi blog

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu leo anafanyiwa upasuaji wa 23 na wa mwisho katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Gasthuisberg nchini Ubelgiji. Lissu amesema baada ya upasuaji huo utakaofanywa kwenye goti la mguu wake wa kulia atakuwa tayari kurejea nyumbani mwaka huu. Tundu Lissu yupo nje ya nchi tangu Septemba 7 mwaka […]

20 Feb 19
MBUKUZI

Siku moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, kudai hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kufanya mikutano ya hadhara ni ukorofi na uvunjifu wa sheria, uongozi wa chama hicho cha upinzani umemjibu, ukidai kauli yake hiyo ni ya watu wasiopenda kufikiri. Wiki iliyopita, Chadema kupitia […]

20 Feb 19
MBUKUZI

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCPHR), imetoa siku 45 kwa Serikali ya Tanzania, ikiitaka itoe utetezi kuhusu maombi yaliyofunguliwa mahakamani hapo kutaka matokeo ya uchaguzi ya Rais yapingwe mahakamani. Kwa mujibu wa barua ya Msajili wa AfCPHR, Dk. Robert Eno, amri hiyo inafuatia ombi namba 018/2018 lililofunguliwa mahakamani hapo na mlalamikaji […]

20 Feb 19
Mtumishi Imani Oscar Katana

WANADAMU WATAKUSAHAU , LAKINI MUNGU HATAKUSAHAU. Mpendwa wangu ninakusalimu katika jina kuu la YESU , ninamshukuru MUNGU kwa msaada wake  kutupa wakati huu mzuri wa Kujifunza NENO Mwanzo 40:23 Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau. Mpendwa huyu mtu ni mtu ambaye alikuwa ni mfungwa pamoja na Yusufu, niliaminilo ni kwamba walikuwa marafiki ndio […]

20 Feb 19
Wanjiru Kinuthia

Happy New Year. Yeah I know I’m too late to the party. It’s a few minutes into the new year after everyone has already wished each other a happy new year and Ogaro asks us in our ‘Leader’s of tomorrow’ group what our goals for the new year are “Mimi nataka kustep out of my […]