
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 34 kwa tuhuma mbalimbali katika misako iliyofanyika katika maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mbeya kama ifuatavyo:- KUINGIA NCHINI BILA KIBALI @ WAHAMIAJI HARAMU. Mnamo tarehe 16.02.2019 majira ya saa 18:30 jioni huko eneo la mpakani, Kata ya Igawa, Tarafa ya Rujewa, Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa […]