Siku

24 Apr 19
PetOgola

Over the last few months, the story of David has weighed heavily in my heart. From the book, ‘The Tale Of Three Kings’ by Gene Edwards, David is portrayed as a man of great humility, respect for God, obedient and so on. However, One of the biggest things though was that ‘he was after God’s […]

24 Apr 19
Dar24

Mwanamke mmoja kutoka umoja wa falme za Kiarabu (UAE), alipata ajali ya gari mwaka 1991 na kupoteza fahamu lakini katika hali ya kustaajabisha ameamka kutoka kwenye koma baada ya miaka 27 akiwa amepona. Munira Abdulla katika ajali alipata jeraha kwenye ubongo baada ya kugongwa na basi wakati akiwa ametoka kumchukua mtoto wake shuleni, wakati huo […]

24 Apr 19
www.classics.com

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewasili katika mji wa bandari wa Vladivostok nchini Urusi kwa mkutano wake wa kwanza kabisa na Rais Vladimir Putin. Kremlin inasema kuwa viongozi hao watakutana katika mji wa pwani wa Vladivostok siku ya Alhamisi, na watazungumzia masuala ya usalama katika rasi ya Korea “tatizo la nyuklia”. Kim anatafuta […]

24 Apr 19
www.classics.com

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ofisi mpya za wizara saba katika mji wa Serikali ulioko Mtumba, Dodoma na kusisitiza uwekwaji wa vibao vya ofisi na kukamilisha mazingira ya nje. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo jijini Dodoma wakati akitoa majumuisho ya ziara fupi kwa maafisa wa Serikali waliokuwepo kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Nishati. […]

24 Apr 19
KFHHSJYAYEGYUKAG

Ratiba imebana kwelikweli! Ndio kauli unayoweza kuitumia kwa Simba ambayo imekuwa ikishuka dimbani kila baada ya siku mbili au siku tatu Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alliance Fc jana, kesho Simba itashuka tena uwanja wa CCM Kirumba kuikabili KMC katika mchezo mwingine wa ligi kuu ya Tanzania Bara Kocha Mkuu wa mabingwa […]

24 Apr 19
nikkollection

Hospital goes digital by using Liquid Telecom’s high-speed fibre network to connect with outreach clinics that serve more than 3.5m residents across the coastal region. Liquid Telecom Kenya, part of the leading pan-African telecoms group Liquid Telecom, has made telemedicine a reality for thousands of patients at the Aga Khan Hospital, Mombasa. Using its high-speed […]

24 Apr 19
msamaha

Kwenye maisha tunapitia mambo na matukio mbalimbali, yakiwemo mazuri na yenye kuleta huzuni pia. Ni katika haya, tunajifunza na kuweza kuendelea mbele. Baada ya kuacha maisha ya anasa, dhambi na huzuni, hatuna budi kujenga uhusiano mzuri na MUNGU na binadamu pia. (Wakolosai 3) Ili kuboresha maisha yetu, tuanze kwa kufungua mioyo yetu na kuwa na […]

24 Apr 19
berita Bola

Di tengah semua kegembiraan seputar semifinal Liga Champions Tottenham melawan Ajax, adalah mungkin untuk melupakan target dasar mereka untuk musim ini tetap menjadi finish empat domestik teratas. Tidak ada ruang untuk tergelincir melawan Brighton, tidak ada ruang untuk fokus mereka turun dan, pada malam yang dramatis, mereka mendapatkan hasil yang mereka inginkan. Hanya. Ada 88 […]

24 Apr 19
Mbukuzi blog

Mafuriko na mmomonyoko wa udongo umepelekea watu wasiopungua 51 kupoteza maisha katika mkoa wa KwaZulu-Natal, mashariki mwa Afrika Kusini. Maafa hayo yamesababishwa na mvua kubwa ambazo zinaendelea kunyesha katika mkoa huo tokea siku ya Jumatatu. Mafuriko hayo pia yameharibu maeneo mengi ya makazi pamoja na maelfu ya hekari za ardhi ya kilimo. Kiwango cha maji […]

24 Apr 19
www.classics.com

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola ameshangazwa na onyo lililotolewa na Ole Gunnar Solskjaer kwa wachezaji wa Man United kwamba wajiandae kuchezewa rafu katika uwanja wa Old Trafford siku ya Jumatano. Siku ya Jumanne Solskjaer alisema: Kutakuwa na uchezaji rafu , watawagonga visigino vyenu na kuwapiga mateke. ”Je alisema hivyo? huku tukiwa na asilimia 65 […]

24 Apr 19
www.classics.com

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa Kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya kusini ya Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji kuanzia usiku wa Alhamisi wiki hii. Kwa mujibu wa TMA, mpaka sasa (Jumatano mchana) kimbunga hicho kipo kilomita 450 kutoka pwani ya Mtwara na kina kasi ya kilomita 130 […]

24 Apr 19
Umeme wa Mashariki

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.

24 Apr 19
Mpogoro Mawe

Siku zote ogopa sana mtu anayetaka akutumie baada ya kushinda kupata kitu fulani,,,,,kama kakufuata kwasababu ya alompenda kamkataa basi tarajia kuachwa baada ya kumpata atakaye mpenda kwa dhati kama yule was mwanzo,,,,,unapoona mtu anakuacha tena kwa kejeli na dharau,,,,,,hakuheshimu hisia zako wakati unalalamika juu ya Yale unayoyafanya leo,,,,anakurudia kwasababu mahusiano yake yamemshinda so kuwa makini […]

24 Apr 19
Swahili News

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte ameifokea nchi ya Canada kwa kushindwa kuchukua hatua juu ya takataka ilizosafirisha hadi katika nchi yake iliyopo kusini mashariki mwa Asia miaka kadhaa uliopita. Nchi hiyo imewasilisha mara kadhaa mamamiko yake kupinga kidiploamasia hatua ya Canada ya kutuma tani za uchafu nchini Ufilipino kati ya mwaka 2013 na 2014. Wiki […]

24 Apr 19
www.classics.com

Nafasi za kazi zilizotanngazwa Leo 2 Job Opportunities at Azania Bank Ltd – Trade Finance Officers Job Opportunity at Azania Bank Ltd – Business Surpport Manager Job Opportunity at Azania Bank Ltd – Industrial Facilitation Officer Job Opportunity at Young Investment Ltd – Accountant Officer Job Opportunity at Young Investment Co. Ltd – Administration Officer […]

24 Apr 19
Kanisa la Mwenyezi Mungu

Nilizaliwa katika familia ya Kikatoliki. Tangu nilipokuwa mdogo, nilihudhuria Misa kanisani na babu na bibi yangu. Kutokana na ushawishi wa mazingira yangu na imani yangu kwa Mungu,…