Spidi

19 Feb 19
MTEZA MEDIA

Timu ya Simba imeibuka na ushindi mnono kwa kuichapa African Lyon mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo Jumanne. Mabao ya Simba yalifungwa na John Bocco (2) huku Peter Salamba akitupia wavuni bao moja. Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha alama 42 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikisalia nafasi ya tatu. […]

09 Feb 19
TROJAN WEBSITE

Geuza Smartphone Yako Kuwa Computer TECH TROJAN 7:22 AM  Geuza Smartphone Yako Kuwa Computer Unajua Kama Ukiwa Na Smartphone Unaweza Kuigeuza Ikawa Computer?Leo Nimekuja na kitu kizuri!Ni moja ya mambo ya Ukuaji wa teknolojia, hivyo basi sio mbaya baada ya kukushirikisha ukamshirikisha na mwenzako pia; Ulishawahi kuhisi kuichoka simu au tablet yako kutokana na udogo wake kwenye […]

08 Feb 19
Evandrus

Spidi Voyager 3 H2Out Jacket Gray/Black XL 474-3091X – Buy – Spidi Voyager 3 H2Out Jacket Gray/Black XL 474-3091X

05 Feb 19
S P I D I M A G A Z I N E

The first ever SPIDI Test and Ride successfully registered 50 contestants from 20 European countries to test the new SPIDI 4Season H2Out kit, which was supplied free courtesy of each contestant’s local SPIDI dealer. The SPIDI 4Season H2Out kit was put to the test, crossing 60 nations and covering a total of more than 300,000 […]

30 Jan 19
Market Growth Insight

The latest report, Motorcycle Airbag Jacket market enables stakeholders to gain insights into their potential consumers to construct more effective marketing strategies for the forecast period, 2019 to 2025. Most importantly, the document empowers business owners to seek information about potential consumers and where they can find them. Apart from this, the literature sheds light […]

28 Jan 19
Badb

Spidi Ladies Voyager H2Out Waterproof Motorcycle Adventure Touring Jacket L BLK – Buy – Spidi Ladies Voyager H2Out Waterproof Motorcycle Adventure Touring Jacket L BLK

19 Jan 19
MTEZA MEDIA

MABINGWA watetezi Simba leo wanaingia kazini kumenyana na AS Vita ikiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa utakaochezwa nchini Congo katika Uwanja wa Mertyrs. Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ambaye pia ni kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Congo akiwa chini ya Kocha Mkuu wa AS Vita, Frolente Ibenge amesema mashine za kazi […]

08 Jan 19
Site Title

It’s important to protect your head and torso, but a lot of people seem to forget about the need for good riding gloves. Gloves are not just a winter accessory to keep your hands warm, they are also intended to keep your skin on, since it turns out asphalt can be quite harsh on the […]

07 Jan 19
Matokeo ChanyA+

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii linalojengwa ndani ya mji wa Serikali katika eneo la Ihumwa Jijini Dodoma. Ameyabainisha hayo wakati alipotembelea eneo hilo kwa ajili ya kukagua maendeleo yaliyofikiwa katika ujenzi wa jengo hilo. “Kazi hii […]

03 Jan 19
Robert's Adventure

The Times They Are A-Changin’ With another year under our belts, I thought it worth it to take a look back over the last 12 months at the changes in the wonderful world of motorcycles. 2018 was no joke. There were plenty of killer new bikes and gear offered and tons of newsworthy items worth […]

27 Dec 18
Badb

Spidi Ladies Voyager H2Out Waterproof Motorcycle Adventure Touring Jacket M BLK – Buy – Spidi Ladies Voyager H2Out Waterproof Motorcycle Adventure Touring Jacket M BLK

21 Dec 18
BAMBADY BLOG

Kuna hatua 6 za kufuata ndani ya dakika 2 tangu kupasuka tairi ambazo unapaswa kuzifuata. 1. USIHAMAKI wala Kukanyaga Breki, tulia kwanza kwa sababu mara baada ya kupasuka tairi gari lako litaanza kwenda kombo na hivyo utahitajika kulimudu. 2. KAMATA USUKANI Kwa nguvu kwa mikono yote miwili, USIPINDEPINDE KONA huku ukiwa makini na barabara na […]

17 Dec 18
PhönixDeal: Heißeste Schnäppchen & Angebote ✅ Deine Shopping-Community

Technische Merkmale: Tenax Oberstoff mit Polyurethan-Beschichtung; Wasserdichte und atmungsaktive Membran H2out; isolierende Auskleidung mit 50gr/mq Watte; Möglichkeit der EN 1621-1 zertifiziert Multitech Protektoren an den Knien, in der Höhe verstellbar einfügen; Zip am Bein; Viele Einstellmöglichkeiten mit Klett, YKK-Reißverschluss

14 Dec 18
MBUKUZI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo ametoa siku sita kupata taarifa ya kina kuhusu mradi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis. Jafo aliyasema hayo jana akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa ofisi yake Magogoni Jijini Dar es Salaam na kudai kuwa iwapo […]

11 Dec 18
SAUTI YA UJAMAA

NA ABDALLAH S. LUBALA Tarehe 5 Mei 2015, ulitokea mgomo wa madereva wa mabasi nchi nzima, ukisimamiwa na madereva wa mabasi wa jiji la Dar es Salaam, kushinikiza serikali ilinde na kusimamia maslahi ya madereva. Serikali iliingilia kati kwa kuanzisha kamati ya Waziri Mkuu itakayoshughulikia sekta ya usafirishaji. Kazi kubwa ya kamati hiyo ni kuyatafuta […]