
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Fatma Karume ameweka wazi sababu za kutowania tena nafasi hiyo katika uchaguzi ujao. TLS inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Aprili mwaka huu ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi huo. Fatma alipokea kijiti cha nafasi hiyo kutoka kwa Tundu Lissu, Wakili na Mbunge wa Singida […]